TETESI ZA USAJILI: Bellingham, Madrid kimeeleweka

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mkataba umekamilika: Jude Bellingham kwenda Real Madrid kwa €100m+ pamoja na nyongeza.


Source : [Fabrizio Romano]


Real Madrid wanaandaa ofa ya €80M kwa ajili ya Harry Kane, Muingereza huyo tayari ametoa mwanga wa kijani juu ya hatua hiyo.


Source : [MARCA]


FC Bayern München wanayo thamani ya Alphonso Davies kwa €100m ingawa hawafikirii kumuuza msimu huu wa joto. Beki huyo wa pembeni amekuwa akihusishwa na kuhamia Real Madrid.


Source : [tw/mano_bonke]


Chelsea wamewasiliana na PSG kuanza mazungumzo rasmi juu ya usajili wa Neymar.


Source : [Le 10 Sport]


N'Golo Kanté anafanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuhamia klabu ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia. Mkataba I rasmi ''HAPA TUNAENDA KUMTANGAZA'. Atasaini mkataba wa miaka miwili, wenye thamani ya €100M-a-msimu.


Source : [Fabrizio Romano / CBS Sports Golazo]


Ada ya Alexis Mac Allister ni £35m. Liverpool wamejipatia dili kubwa.


Source : [Fabrizio Romano]


Real Betis wamefanya kazi kubwa ya kumsajili Adama Traoré, ambaye ni mchezaji huru msimu huu wa joto. wamempa ofa ya hali ya juu sana na anatarajia kuwasili klabuni hapo siku chache badaye.


Source : [@relevo_deportes]


Borussia Dortmund wanakaribia kumsajili Edson Álvarez kutoka Ajax. Ataigharimu klabu hiyo €35m lakini wanaweza kutoa ada hiyo mara tu uhamisho wa Jude Bellingham kwenda Real Madrid utakapokamilika rasmi.


Source : [SPORT BILD]


Nia ya Aston Villa FC kwa Harry Maguire ni thabiti na wanapanga kumsajili kama sehemu ya matumizi makubwa ya fedha msimu huu wa joto.


Source : [tw/footyinsider247]


David De Gea ana ofa nono kutoka Saudi Arabia katika kazi yake, hata hivyo, anataka kusalia Manchester United angalau kwa msimu mmoja.


Source : [GOL]


AS Roma imekamilisha usajili wa Mchezaji wa Kimataifa wa Algeria Houssem Aouar. Mkataba hadi Juni 2028.


Source : #ASROMA]


Hatma ya Jadon Sancho katika klabu ya Manchester United haijulikani wana mwafaka gani. Kiwango chake kibovu kinafahamika sana klabuni hapo na hakipuuzwi. Borussia Dortmund ni washindani wa kweli wa kutaka kumsajili tena Sancho na wanaongoza katika mbio hizo.


Source : [TEAMtalk]

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post