TETESI ZA USAJILI: Arsenal washindwe wao tu kwa Decline Rice

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 La liga wamemwambia Jorge Messi watakuwa na jibu dhahiri kwa ukoo wa Messi siku ya Jumatatu.


Nafasi ya Messi kurudi Barcelona sasa imefikia asilimia 80.


Chanzo: [Gerard Romeo]


Karim Benzema amemuomba Physio wa Real Madrid kujiunga naye huko Saudi Arabia.


Chanzo: [The Athletic FC]


Baadae ya kiungo Leon Goretzka ndani ya klabu ya Bayern Munich inaonekana kutokuwa na uhakika baada ya Hasan Salihamidzic kufutwa kazi klabuni hapo. Baadhi ya viongozi wa klabu hiyo hawafurahii kuhusika kwa kiungo huyo katika siasa.


Uvumi wa klabu ya Bayern Munich kwa Declane Rice kunaweza kumuondoa klabuni hapo, na Liverpool wanaonekana kuvutiwa na kiungo huyo.


Chanzo: [tw/ Kessler Philipp]


Bayern Munich wako tayari kutoa pound million £85 kwa ajili ya kuoata saini ya kiungo wa klabu ya West Ham United Declane Rice.


Inaaminika kiungo huyo wa kimataifa wa Uingereza anapendelea kujiunga na klabu ya Arsenal.


Chanzo: [Times Sport]


Jina la Kai Havertz ni miongoni mwa majina yaliyopo katika orodha ya Real Madrid katika nafasi ya namber 9


Chanzo: [MARCA]


Liverpool wameambiwa kuwa Manu Kone atapatikana kwa ada ya euro million €35 had €40 msimu huu wa kiangazi.


Chanzo: [Fabrizio Romano]


Harry Kane yupo wazi kujiunga na klabu ya Manchester United msimu huu wa kiangazi, lakini bado inaonekana ikiwa atakuwa yuko tayari kuhama.


Chanzo: [Daily Mail Sport]


Chelsea wako tayari kumuuza Mateo Kovacic kwa ada ya karibu pound million £35.


Kiungo huyo raia wa Croatia amebakisha mwaka 1 katika mkataba wake na Chelsea na amekuwa katika mazungumzo na Man City.


Chanzo: [ESPN FC]


Harry Maguire yuko katika mstari wa malipo ya pound million £10 na Manchester United ikiwa ataondoka msimu huu wa kiangazi.


Fainali ya FA siku ya Jumamosi inaweza kuwa mechi yake ya mwisho.


Chanzo: [Daily Mail Sport]


Manchester United na Mason Mount wamefikia makubaliano ya masharti ya kibinafsi.


Anatarajiwa kusaini United siku zijazo.


Chanzo: [The Telegraph]

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post