Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya kuhusishwa na Yanga SC kwa muda mrefu, upepo umegeuka na sasa nyota wa Singida Big Stars, Bruno Gomes anadaiwa kupandiwa dau na Wekundu wa Msimbazi, Simba SC. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa, Simba na uongozi wa Singida upo kwenye mazungumzo ya mwisho na asilimia 90 ya mazungumzo hayo yameenda vizuri na Singida wanamuuza Bruno.
Post a Comment