Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Uongozi wa klabu ya Simba umewataarifu mashabiki na Wanachama juu ya ujio wa kadi za mashabiki
Simba imeingia kwenye ushirikiano na Mabenki makubwa nchini Tanzania kwa ajili ya kuwapa mashabiki wake kadi za mashabiki, akaunti maalum ya Simba pamoja na Bima za maisha
Akizungumza mapema leo Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema kuwa huduma hizi zitatolewa na Mabenki yote
Simba itaendelea kutoa taarifa zaidi juu ya utaratibu wa mchakato huo
Ni zaidi ya miaka mitatu imepita tangu utaratibu wa kadi za Simba kupitia Equity Bank ulipoanzishwa lakini mchakato huo haukuwa na mwendelezo
Post a Comment