Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kesho Jumapili Juni 18 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Tanzania tuna jambo letu la kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2023
Ni mchezo dhidi ya Niger ambao Tanzania inazihitaji alama zote tatu ili kuweka hai matumaini ya kufuzu kwa michuano hiyo itakayofanyika Ivory Coast mwanzoni mwa mwaka 2024
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni
Mzunguuko ni Tsh 3,000/- tu wakati VIP B na C ni Tsh 10,000/-
Twendeni tukaipe sapoti timu yetu ya Taifa
Post a Comment