Singida Fountain Gate wazima tetesi za Yanga wampa mkataba mpya Kagoma

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026.


Klabu ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026. Singida imeanza mchakato wa kuwazuia nyota wake kwa ajili ya kujipanga na msimu ujao ambapo watakuwa na kibarua katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post