Simba Yamtema Gadiel Michael

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Simba imetangaza kuachana na Gadiel Michael baada ya mkataba wake kumalizika


Gadiel ameitumikia Simba kwa misimu minne akitokea klabu ya Yanga


Akiwa na Simba Gadiel ameshinda Mataji mbalimbali, ligi kuu matatu, kombe la FA mawili na Ngao ya Jamii mara mbili


Wakati huu Simba imeona hatoshi hivyo kusajili mbadala wa kuchukua nafasi yake

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post