Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa kiungo mshambuliaji Nelson Okwa
Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa makubaliano ya pande mbili yamefikiwa na kiungo huyo raia wa Nigeria
Okwa aliitumikia Simba kwa miezi sita tu kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda klabu ya Ihefu Fc
Hata hivyo sio miongoni mwa wachezaji waliopendekezwa na kocha Robertinho Oliveira kuitumia Simba msimu ujao
Anakuwa mchezaji wa nne kuachwa na Simba baada ya Augustine Okrah, Victor Akpan na Mohammed Ouattara
Post a Comment