Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya kuhusishwa kwenda vilabu mbali mbali kama FC Bayern Munich na Newcastle United nahodha wa Al Nassr Cristiano Ronaldo amekanusha na kusema haendi popote ana furaha kuwa sehemu ya kikosi cha Al Nassr. Ronaldo alikuwa akihusishwa na vilabu vya Ulaya ikisemekana kuwa anahitaji kucheza Michuano ya UEFA.
Post a Comment