RATIBA ya Ngao ya Jamii 2023/2024

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2023/2024) umepangwa kuanza rasmi August 09,2023 kwa mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii kuchezwa katika Uwanja Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.


Imefahamika kuwa Ngao ya Jamii msimu ujao wa 2023/2024 itachezwa kama Mtoano au Nusu Fainali.


Hizi hapa ni timu 4 zitakazoshiriki kuwania Kombe la Ngao ya Jamii, ikiashiria Ufunguzi wa Ligi Kuu ya NBC 2023/2024.


Young Africans

Simba SC

Azam FC

Singida Big Stars

Mfumo utakaotumika kumpata Bingwa na Ratiba kamili tumekuwekea hapa chini;


Nusu Fainali ya Kwanza itakuwa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC tarehe 4 mwezi August 2023 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.


Nusu Fainali ya Pili itakuwa Kati ya Young Africans dhidi ya Singida Big Stars tarehe 5 mwezi August 2023 kwenye Uwanja wa CCM Sokoine Jijini Mbeya.


Mshindi wa Nusu Fainali ya Kwanza (Simba vs Azam FC) atacheza Fainali dhidi ya Mshindi wa  Fainali ya Pili (Yanga vs Singida BS) tarehe 9 mwezi August 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.


Aidha Fainali itachezwa mechi moja tu.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post