RASMI: Nkunku asaini Miaka 6 Chelsea - EDUSPORTSTZ

Latest

RASMI: Nkunku asaini Miaka 6 Chelsea

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Chelsea imekamilisha usajili wa mshambuliaji Christopher Nkunku kwa ada ya uhamisho inayokaribia Euro milioni 60 kutoka RB Leipzig ya Ujerumani.


Nkunku (25) raia wa Ufaransa ambaye alikuwa kinara wa magoli (16) kwenye Bundesliga 2022/23 amesaini mkataba mpaka Juni 2029.


"Nina furaha sana juhudi kubwa ilifanywa kunileta kwenye klabu, nataka kuwaonyesha wafuasi wa Chelsea kile ninachoweza kufanya uwanjani".



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz