Messi huyoo Inter Miami, Beckham asimamia Shoo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya Tetesi za kuhusishwa kurudi Barcelona au kwenda Saudi Arabia, supastaa Lionel Messi amekubali kujiunga na klabu ya Inter Miami inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS)


Baada ya Tetesi za kuhusishwa kurudi Barcelona au kwenda Saudi Arabia, supastaa Lionel Messi amekubali kujiunga na klabu ya Inter Miami inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS) Asilimia za Messi kujiunga na Inter Miami zinaonekana kuwa nyingi kutokana na ushawishi mkubwa uliopo wa mmiliki wa timu hiyo, David Beckham ambaye ana uhusiano mzuri na staa huyo.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post