Matokeo ya Yanga vs Polisi Tz U20 - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo ya Yanga vs Polisi Tz U20

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Yanga U20 imeondoshwa rasmi katika ligi kuu ya Vijana baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania

Ni rasmi vijana wameyaaga mashindano huku wakiburuza mkia baada ya kupoteza mechi mbili na sare moja

Katika mechi tatu, wamepachika mabao mawili huku wakiruhusu mabao matano



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz