Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Tanzania imeweka hai matumaini ya kufuzu Afcon 2023 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Bao pekee la Stars lilifungwa na Saimon Msuva aliyemalizia krosi ya Novatus Dismas kutoka upande wa kushoto
Tanzania ilitengeneza nafasi nyingi kwenye kipindi cha kwanza huku Niger wakija juu katika kipindi cha pili lakini wachezaji wa Stars walikuwa imara kuhakikisha alama zote tatu zinabaki Tanzania
Stars imefikisha alama 7 katika msimamo wa kundi F ikiwa nafasi ya pili mbele ya Uganda yenye alama nne ikitarajiwa kuchuana na Algeria baadae leo
Post a Comment