Matokeo Simba vs Polisi Tz leo June 06

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Saido Ntibazonkiza ameweka rekodi katika msimu huu kwa kufunga mabao matano katika mchezo mmoja


Saido leo ameishusha daraja Polisi Tanzania akiifungia Simba mabao matano katika ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Polisi Tanzania


Ni kipigo kilichoihakikishia Polisi Tanzania kushuka daraja rasmi wakisalia na alama 25 baada ya mechi 29


Aidha Saido sasa ameingia rasmi kwenye kinyan'ganyiro cha kuwania ufungaji bora msimu huu akifikisha mabao 15 bao moja nyuma ya Fiston Mayele mwenye mabao 16


Saido atakuwa na nafasi ya kushinda kiatu cha dhahabu kama ataendeleza kasi yake katika mchezo wa mwisho dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Ijumaa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post