Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mechi za hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na kombe la Shirikisho zinatarajiwa kuanza mwezi August 2023
Kulingana na ratiba ya awali iliyotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), mechi za mtoano hatua ya awali zitapigwa 18-19 August 2023 na marudiano kupigwa 25-26 August 2023
Timu zitakazovuka hatua ya awali, zitacheza mechi za raundi ya kwanza 15-16 Septemba 2023 na mechi za marudiano kupigwa 29-30 Septemba 2023
Droo ya hatua ya makundi itafanyika mwezi Novemba wakati mechi za hatua hiyo zikitarajiwa kuanza mwezi Disemba 2023
Wananchi wanatarajiwa kuanzia ugenini na kumalizia nyumba kwenye mechi za hatua ya awali na hata raundi ya kwanza kama watafanikiwa kuvuka
Post a Comment