Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Tayari timu nne za juu ya msimamo na timu mbili za chini ya msimamo zimefahamika
Yanga, Simba, Azam Fc na Singida BS zimejihakikishia kumaliza nafasi nne za juu ambapo Yanga watakabidhiwa ubingwa baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Polisi Tanzania na Ruvu Shooting zimemaliza nafasi mbili za chini na hivyo zimeshuka daraja moja kwa moja
Hatma ya timu mbili zinazokwenda kucheza play-off itafahamika baada ya mechi za leo
Mbeya City na KMC zitachuana katika mchezo ambao utaamua kama zote zitacheza play-off au mshindi atanusurika?
Mtibwa Sugar nayo itahitaji kushinda dhidi ya Geita Gold ili kujihakikishia usalama wakati Coastal Union ambayo iko ugenini uwanja wa Uhuru dhidi ya Simba nayo iahitaji ushindi au alama moja ili kuwa salama
Mechi zote zitakuwa LIVE kwenye app yetu bofya hapa kuidownload buree ( app haipo play store )
Post a Comment