Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Stars Adel Amrouche amefanikiwa kutafuta maingizo mapya ya Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje ya Tanzania na Kukaaa nao zaidi ya wiki moja kambini na uenda tukaona majina mengi Mapya katika Kikosi cha timu ya Taifa kinachotarajiwa Kutangazwa hivi karibuni.
Baadhi ya Ingizo Jipya ni Nyota wa klabu ya Bodo ya Norway, Amhil Pelegrino ni mmoja Kati ya Wachezaji wanaotarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa Stars kinachotarajiwa kutangazwa na Mwalim Adel.
Pelegrinho msimu uliopita alifanikiwa kufunga mabao 25. Na msimu huu kafanikiwa kufunga mabao 12, ni mshambuliaji wa viwango.
Amhil Pelegrino mwenye miaka 32 msimu huu kwenye ligi kuu Norway amecheza mechi 11 na kufanikiwa kufunga mabao 12 na Assist 5.
Post a Comment