Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imethibitisha rasmi kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo Nasreddine Nabi
Kocha huyo aliyeitumikia Yanga SC kwa mafanikio makubwa ameondoka baada ya kumaliza mkataba ndani ya klabu hiyo na kushindwa kufikia makubaliano mapya
Nabi ameshinda mataji mawili ya ligi kuu mataji mengine ya ASFC na mataji mawili ya ngao ya jamii pamoja na kuifikisha klabu hiyo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Post a Comment