Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche ametangaza kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachokwenda kuvaana na Niger Juni 18, 2023
Hiki hapa kikosi kamili;
MAKIPA
Metacha Mnata (Yanga)
Beno Kakolanya (Simba)
Vuai (KMKM)
Zuberi Foba (Azam)
MABEKI:
Datus Peter (Kagera)
Dickson Job (Yanga)
Kibwana Shomari (Yanga)
Bakari Nondo Mwamnyeto (Yanga)
Ibrahim Bacca (Yanga)
Zimbwe Jr
Kennedy Juma (Simba)
Novatus Dismac (Zulte, Ubelgiji)
Abdi Banda (Chippa, South Africa)
Lameck Lawi (Costal)
VIUNGO:
Himid Mao Mkami (Ghazl, Egypt)
Adolph Mtasingwa Bitegeko (Völsungur ÍF, Iceland)
Aziz Andambwile (Singida)
Muzamir Yassin (Simba)
Mudathir Yahya (Yanga)
Ayoub Idrissa Bilal (Ankara, Uturuki)
Ben Starkie (Basford Utd, England)
Morris Abraham (Spartak Subotica, Serbia)
WASHAMBULIAJI:
Simon Msuva (Al Qadsiah, Saudi)
Abdul Suleiman Sopu (Azam)
Kibu Dennis (Simba)
John Tiber
Bernard Kamungo (FC Dallas, USA)
Adi Yusuph (Brackley Town, England)
Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
Post a Comment