Kauli ya TFF kuhusu Mayele na Saido kulingana na mabao

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 "Suala la wachezaji wawili kufanana magoli ni jabo la kujivunia sana kwenye ligi yetu. Hilo ni suala la tuzo na kwetu masuala ya tuzo yanasimamaiwa na kamati ya tuzo za ligi kuu"


"Muda mfupi ujao taarifa rasmi itatoka kuhusu hilo na haitatoka kwetu bodi ya ligi bali itatoka kwa kamati ya tuzo, kwa sasa tufurahie ubora wa ligi yetu kuendelea kuwa na ushindani kiasi cha kutoa ushindani huu"


"Suala hilo la kufanana magoli ni moja ya maeneo ambayo hayajafafanuliwa na kanuni zetu na ni wakati sasa kwetu kukaa na pamoja na kupokea maoni ya wadau wote ili kupata kanuni bora" Karim Boimanda-Afisa habari bodi ya Ligi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post