Inonga naye akataa unyonge wa Simba kutobeba makombe - EDUSPORTSTZ

Latest

Inonga naye akataa unyonge wa Simba kutobeba makombe


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Beki wa kati wa Simba SC, Henock Inonga amesema, tangu ajiunge na Wekundu hao wa Msimbazi hakufanikiwa kupata ushindi hivyo watafanya kila linalowezekana msimu ujao wafanikiwe kupata ubingwa.


Inonga anesema kwa kushirikiana na wenzake, watahakikisha wanafanya kila linalowezekana ili weweze kupata mataji.


Inonga amejiunga na Simba misimu miwili iliyopita ambapo timu hiyo imeambulia patupu kwa misimu yote.


Chanzo: Malunde



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz