Huyu hapa Pilato wa Fainali Yanga vs Azam kesho

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Refa Ramadhani Kayoko ndiye atakayepuliza kipyenga katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kesho baina ya Azam na Yanga Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.


Kayoko wa Dar es Salaam atasaidiwa na mwenyeji, Mohamed Mkono na Janeth Balama wa Iringa, wakati refa wa akiba na Jonesia Rukyaa wa Kagera.


Mchezo huo utaanza Saa 9:30 Alasiri na kuonyeshwa na chaneli ya Azam Sports 1 HD ya Azam Tv.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post