Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mbeya City wamelazimika kushuka daraja baada ya kupokea kipigo cha goli 1-0 na Mashujaa FC.
Mbeya City walikuwa nyumbani kumalizia mchezo wa pili wa play off baada ya mchezo wa awali kumalizika kwa Mashujaa kuibuka na ushindi wa 3-1.
Goli la Mbeya City lilifungwa dakika za jioni kabisa baada Mashujaa kukaza vilivyo na kuzuia mashambulizi mengi ambayo hayakuzaa matunda.
Post a Comment