Done Deal: Mendy atua Al Ahli

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Al Ahli ya Saudi Arabia imetangaza kumsajili Mlinda mlango Édouard Mendy kama mchezaji mpya klabuni hapo baada ya kukamilisha usajili wake kutoka Chelsea.


Al Ahli imemsajili Mendy kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 17 na kumsainisha mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026.


Mendy (31) raia wa Senegal anaungana na Wimbi la nyota kutoka Ulaya waliotimkia Uarabuni wakiwemo waliokuwa wachezaji wenza kutoka Chelsea kama N'Golo Kanté, Hakim Ziyech na Kalidou Koulibaly.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post