Done Deal: Chelsea wakamilisha usajili wa Nicolas Jackson

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Chelsea imemsajili Mshambuliaji, Nicolas Jackson kwa ada ya uhamisho ya euro milioni 37 kutoka Villarreal.


Nicholas (22) raia wa Senegal amesaini mkataba wa miaka 8 kuwatumikia The Blues mpaka Juni 2031.


Kwenye msimu uliopita wa Ligi Kuu Uhispania, Jackson alifunga magoli 12 na kuchangia magoli (asisti) 4 kwenye mechi 26.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post