Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Al Ahly imemuweka sokoni wing wake Jose Miquissone akiuzwa dola 250,000 (Sh 590 milion).
Katika kumweka sokoni, Simba ndio klabu iliyopewa kipaumbele cha kuulizwa kama itamhitaji kutokana na mkataba wake wakati anauzwa kuwa na kipengele.
Simba tayari imeshaanza mazungumzo na Luis ambaye amewataka mabosi wa Simba kufika kwenye mshahara wa Dola 20,000 (Sh 47 milion) kwa mwezi ili arejee nyumbani.
Dau ilo linaonekana kuwapasua vichwa mabosi wa Simba ambao walikuwa tayari kumpa mashahara wa Dola 10,000 (Sh 24milion)
Post a Comment