Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo Mason Mount kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 60 kutoka Chelsea.
Man United itatanguliza pauni milioni 55 huku pauni milioni 5 zikitarajiwa kulipwa kulingana na utendaji wa nyota huyo kwa kipindi chote cha mkataba wake Old Trafford.
Mount (24) raia wa England anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano mpaka Juni 2028 baada ya taratibu za vipimo vya afya.
Post a Comment