Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
KIungo Mbrazil, Bruno Barroso Gómez ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ hadi mwaka 2025. Mchezaji huyo alieonesha kiwango kikubwa msimu uliopita alikuwa anazungumzwa kuwaniwa na vigogo na hasa Simba SC ambao eneo lao la kiunho sio imara.
Post a Comment