Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Winga Peter Banda raia wa Malawi ameacha maswali kwa mashabiki wa klabu ya Simba baada ya kufuta picha zote zinazoihusu timu hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Hii inakuja siku moja baada ya Simba kuachana na Mghana Augustine Okrah ambaye ametumikia kikosi hicho kwa msimu mmoja tu. Je safari imeiva? au anaanza upya baada ya majeraha yaliyomuweka nje muda mrefu?
Post a Comment