Azam waanza kuonesha jeuri, waipiga Simba na kitu kizito

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mkata umeme na nahodha wa Azam FC, Sospeter Bajana ataendelea kusalia Azam FC hadi mwaka 2026.


Hatua hiyo baada ya Bajana kusaini Mkataba mpya wa miaka mitatu ambao utaisha 2023.


Bajana alikuwa akihusishwa na Wekundu wa Msimbazi Simba SC na kwa hatua ina maana Simba wameangukia pua.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post