Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Azam itabeba majukumu yote ya kuiendesha; usajili, kulipa mishahara, gharama za usafiri lakini timu hiyo haitabadili jina wala kuhamishwa makazi kutoka Dodoma.
Azam FC itqcheza Kombe la Shirikisho msimu ujao baada ya kumaliza nafasi ya tatu Ligi Kuu Bara, na masharti ya CAF kila timu lazima iwe na Timu ya wanawake.
Post a Comment