Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imeachana na winga Dickson Ambundo baada ya mkataba wake kumalizika
Ambundo alitua Yanga akitokea klabu ya Dodoma Jiji akiwatumikia Wananchi kwa misimu miwili
"Tunamshukuru Ambundo kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Yanga," ilisema taarifa iliyotolewa na Yanga
Post a Comment