Ally Kamwe: Atakaevaa jezi Namba 6 ni mtu na nusu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Bila shaka Yanga wamepanga kushusha kifaa cha maana katika Dirisha hili la usajili baada ya kuachana na baadhi ya nyota wake.


katika balaa hilo la usajili litakalofanywa na Yanga, jezi namba 6 imeonekana kuvuta hisia za wengi na hasa baada ya kutendewa haki na aliekuwa akiivaa jezi hiyo Kiungo Feisal Salum alietimkia Azam FC.


Akizungumzia mchezaji atakaekwenda kuivaa jezi hiyo, Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe anasema;


“Atakaye vaa jezi namba 6 kwanza anajua mpira kweli kweli, Quality yake siku akitua hapa kwanza mtaenda YouTube kama hamtanena kwa vinywa vyenu, mawe yatanena, Quality yake ni kubwa kwelikweli hizi byuti byuti anazipiga nyingi sana,”

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post