Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wakati Dhihaka zikiwa zinaendelea mitandaoni baada ya Yanga kukosa Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika na kuambu;lia medali za mshindi wa pili.
Rais wa Yanga nae ametoa neno kuhusiana na kauli hiyo,
“Kuna Mtindo umeingia kwa baadhi Ya Wachambuzi ambao wanaona ili kuweza kufikisha Ujumbe Wake inabidi utumie namna flani ya Kuwasilisha ( Kwa Kuponda) . Kwangu mimi hii naona ni kutafuta attention ili watu waone au wafuatilie unachozungumza . Kwa mfano kuna Mchambuzi Mmoja nimeona kaandika Medali bila Ubingwa ni sawa na Hirizi, Sasa Kweli unaweza Ukafananisha Medali Ya CAF na Hirizi ?"
Post a Comment