Ahmed Ally: Hatujavuna kitu ila tuagane - EDUSPORTSTZ

Latest

Ahmed Ally: Hatujavuna kitu ila tuagane

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally Ahmed Ally amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi leo kwenye mechi ya kufungia msimu 2022/23 dhidi ya Coastal ili watumie fursa hiyo kuwaaga Wachezaji na Wachezaji wawashukuru Mashabiki licha ya kukiri kwamba hakuna walichovuna kwakuwa Simba hana Kombe lolote msimu huu.


“Baada ya safari ndefu hatimaye leo tunafikia ukingoni, tulitamani safari yetu tuimalize kwa furaha lakini haijawa hivyo lakini hiyo haitupi sababu ya kuacha kuipa support Timu yetu pendwa”


“Wana Simba tukutane Uwanja wa Uhuru leo saa 9:30 tuwaage Wachezaji wetu na Wachezaji watuage sisi, japo hakuna tulichovuna tuwapongeze kwa kazi kubwa waliyoifanya na wao watushukuru kwa kuwashangilia katika nyakati zote “


“Pia sisi kama Familia ya Mashabiki tupate nafasi ya kuagana na kutakiana heri ya mapumziko, Love, Love, Love”



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz