Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Timu ya wachezaji wakongwe wa Zambia imewashushia kipigo kizito cha mabao 3-0 timu ya wakongwe wa Barceleona kwenye mchezo wa Maonesho uliofanyika jana Jijini Lusaka, Zambia.
Ronaldinho, Kluivert, Saviola, Giovanni, Mendieta, Déhu, Coco, Sergi, Gabri, Edmilson na Mendieta Guzmán waliichezea Barcelona Legends.
Kalusha Bwalya na Emmanuel Mayuka walikuwa sehemu ya Kikosi cha Zambia Legends.
Post a Comment