Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Singida Big Stars inatajwa kukamilisha usajili wa awali wa mlinzi wa kulia raia wa Uganda Nicolas Wadada (28)
Mwishoni Mwa Msimu huu Wadada atakuwa mchezaji huru kwani kandarasi yake na Ihefu Fc itakuwa imetamatika
Wadada anakuwa Mchezaji wapili kumwaga wino ndani ya Singida Big stars baada ya Mlinzi wa kushoto pia wa Ihefu Sc Yahaya Mbegu nae akisajiliwa na matajiri hao wa Singida
Post a Comment