USM Algiers: Tuanataka kuwafunga Yanga kistaarabu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa USM Algiers kutoka Algeria kwa mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho katika Uwanja wa Mkapa kesho Jumapili.


Kocha wa USM Algiers amesifu uungwana wa wenyeji wao na kusema kuwa hata ushindi wao kesho utakuwa wa kistaarabu.


"Tunataka kuwafunga Yanga kistaarabu kama ambavyo wametupokea kistaarabu hawajatufanyia Fujo kama ambavyo waliwafanyia Wengine walipokuja Hapa, kusema ukweli wametupa heshima so hatutaki kuondoa heshima hiyo kwa kuwafunga magoli mengi tunataka kuwafunga magoli mawili tu kistaarabu"


Mei 28 Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho itapigwa Jijini Dar kisha mchezo wa mkondo wa pili utapigwa Juni 3.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post