Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kamati ya maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania imewafungia maisha wanafamilia wawili kujihusisha na mpira wa miguu.
Watu hao ni Mwenyekiti wa Kitayosce, Yusuph Kitumbo na Kocha wa mpira wa miguu Ulimboka Mwakingwe ambao wametiwa hatiani kwa upangaji wa matokeo.
Post a Comment