Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mastaa wa Yanga huenda wakageuka mamilionea kama watatwaa kombe la Shirikisho, kwani tajiri GSM ametoa ahadi ya kuwapa asilimia 40 za pesa ya ubingwa huo ambayo ni karibu Sh 2 bilioni za Kitanzania ambapo ukigawa kwa wachezaji 30 kila mmoja atachota milioni zisizopungua 63.
Mastaa wa Yanga huenda wakageuka mamilionea kama watatwaa kombe la Shirikisho, kwani tajiri GSM ametoa ahadi ya kuwapa asilimia 40 za pesa ya ubingwa huo ambayo ni karibu Sh 2 bilioni za Kitanzania ambapo ukigawa kwa wachezaji 30 kila mmoja atachota milioni zisizopungua 63. Yanga watakuwa na kibarua Jumapili hii katika mchezo wa mkondo wa kwanza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kisha Juni 3 watacheza mchezo wa mkondo wa pili nchini Algeria.
Post a Comment