TFF yataja wanaowania mchezaji bora FA na FAIR PLAY


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kamati ya tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya uteuzi wa wachezaji watano kuwania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na tuzo ya kuwania mchezaji Muungwana 'Fair Play'


Katika taarifa iliyotolewa na TFF, wachezaji waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la FA ni Fiston Mayele, Bakari Mwamnyeto, Clement Mzize wote kutoka klabu ya Yanga, Prince Dube na Abdul Suleiman Sopu kutoka klabu ya Azam Fc


Aidha wachezaji Saido Ntibazonkiza, Jean Baleke na Pape Ousmane Sakho wameteuliwa kuwania tuzo ya Uungwana


Saido na Baleke walifanya matukio ya uungwana kwenye mchezo dhidi ya Yanga wakati Sakho alifanya tukio la uungwana kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post