Ten Hag: De Gea bado yupo sana Man United

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kocha Mkuu wa Manchester United, Eric Ten Hag amesema kuwa klabu hiyo itamuongezea mkataba kipa wao namba moja, David de Gea kwani ameonyesha kiwango kizuri katika msimu huu.


Ten Hag amesema hayo baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Westham ambapo United walipoteza mchezo huo 1-0.


"Tunamtaka abaki na tunataka aongeze mkataba, yeye ndiye kipa mwenye clean sheet nyingi zaidi kwenye Premier League tusingekuwa hapa katika nafasi hii bila yeye.


Naamini hakuna wasiwasi inatokea kama timu lazima ukabiliane nayo, uonyeshe tabia, uwe mvumilivu,” amesema Hag.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post