Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Yanga imeondoka leo kuelekea mkoani Singida kwa ajili ya mechi mbili muhimu dhidi ya Singida Big Stars
Alhamisi May 04 Yanga itashuka uwanja wa Liti kumenyana na Singida BS katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.
May 07 Yanga itashuka tena uwanja wa Liti kumenyana na Singida BS katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Yanga inakabiliwa na ratiba ngumu kwani itacheza mechi tatu katika kipindi cha siku sita
May 10 Wananchi watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya Malumo Galants
Post a Comment