Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Yanga imechimbia katika moja ya hotel maarufu jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa Jumapili, May 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni
Hii ni fainali ya kihistoria kwa Yanga ambayo inakaribia kabisa kuingia katika vitabu vya CAF kuwa miongoni mwa timu zilizotwaa kombe la Shirikisho
Wananchi watakuwa na dakika 90 za jasho na damu uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili kusaka ushindi ambao utawaweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo
Mkakati ni Yanga inashinda uwanja wa Benjamin Mkapa na kwenda kusaka matokeo ya sare au ushindi katika mchezo wa pili
Post a Comment