Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba imetoa taarifa ya mlinda lango Aishi Manula kusafiri Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu
Manula aliumia kwenye mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Ihefu Fc
Manula ameongozana na daktari wa Simba Edwin Kagabo ambaye amebainisha kuwa matibabu yatafanyika jiji la Johanesburg
Manula atafanyiwa upasuaji ambapo muda ambao atakaa nje utategemea na upasuaji huo
Lakini ni wazi Manula anaweza kuwa nje kwa muda mrefu, Simba huenda ikalazimika kusajili mlinda lango mwingine wa kumuongezea nguvu Ali Salim wakati Manula akiendelea na matibabu
Post a Comment