Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba imetoa mapumziko kwa wachezaji baada ya mechi za ligi kusogezwa mbele
Simba ilipaswa kucheza na Polisi Tanzania siku ya Jumatano May 24 lakini mchezo huo sasa utapigwa Juni 06 wakati mchezo wa kuhitimisha msimu dhidi ya Coastal Union utapigwa Juni 09
Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa wachezaji watarejea mazoezini May 24 kwa ajili ya maandalizi ya mechi hizo ambazo ni za kukamilisha ratiba tu kwa Simba
Simba imemaliza kwenye nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikiwa imejihakikishia tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao
Post a Comment