Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Tottenham imeanza mchakato wa kumnasa kipa wa Chelsea, Edouard Mendy katika dirisha lijalo la usajili la majira ya kiangazi. Spurs inajiandaa kuachana na nahodha wake kipa Hugo Lloris wakati mkataba wake utakapofika tamati, hivyo wanahitaji wa kuja kurithi mikoba yake.
Kipa Msenegali, Mendy naye mambo yake si mazuri huko Stamford Bridge. Licha ya kwamba Spurs bado haijampata kocha mpya tangu ilipoachana na Antonio Conte, Machi mwaka huu, wanaamini kipa Mendy hatapingwa na kocha mpya atakapokuja.
Kwenye mchakato huo wa usajili, Spurs wanaamini watampata Mendy kwasababu Chelsea kwa sasa mpango wake ni kupunguza wachezaji kwenye kikosi chao.
Post a Comment