Simba yaifuta Namungo kibabe

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Msafara wa kikosi cha Simba umeoondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mechi mbili huko Kusini wa Tanzania

Jumatano Simba itakuwa uwanja wa Majaliwa kuumana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu na Jumamosi Simba itakuwa uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kuumana na Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post