Shaffih Dauda: Kuna Klabu imemsaliti Fei, sasa kabaki peke yake

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wakati ikiwa bado haijulikani sakata la mchezaji wa Yanga Feisal Salum "Fei Toto" litaishaje baina yake na klabu yake ya Yanga na hasa baada ya mchezaji huyo kuomba achangiwe fedha ili apeleke shitaka lake CAS.


Mchambuzi wa Soka kutoka kituo cha Clouds FM, Shaffih Dauda ametoa maoni yake kuhusiana na sakata la mchezaji huyo, na kusema;


"Upande wa pili mimi naangalia why ? mbona linaenda mbali sana , sikutegemea kama lingefika huko CAS ni jambo ambalo linazungumzika , unajua tunavyokwenda mbele tunasahau chimbuko "


"Chimbuko ni pale ambapo kuna Klabu ilimtamanisha na yeye akajaa wakashirikiana , Milioni 112 akaweka kwenye akaunti ya Yanga avunje mkataba awe huru aende kuanza maisha sehemu nyingine bahati mbaya ikashindikana, wale mabwana wakamtupa akabaki peke yake

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post